Marufuku kutimua wanafunzi vilaza, ni agizo la Serikali kwa shule binafsi na mshirika ya dini, Tuhuma za Magazeti mawili, kauli ya JPM nzito, wadau wa habari washtushwa, mwenyewe asema siku za vyombo hivyo zinahesabika… hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Januari 14, 2017, Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Serikali yazidi kupigilia msumari wa moto shule binafsi
Mbarawa aiweka kitimoto kampuni ya mizigo ya Swissport