Emmanuel Mgaya maarufu kama Masanja Mkandamizaji ameachia ngoma yake mpya ya dini inayoenda kwa jina la Nii.

Ni ngoma yenye ubunifu mkubwa ambayo haichoshi masikioni mwa msikilizaji ameimba dini ya namna ya kisasa ya bongofleva.

Itazame hapa chini.

Video: Zingatia haya kabla haujanunua Masofa nyumbani kwako
Wakala wa Serikali mtandao yaja na mfumo mpya

Comments

comments