Mashabiki wa TP – Mazembe ya Congo wameeitambia Yanga wakidai wakifika kwao watawafunga magoli mengi zaidi baada ya kutoka na ushindi wa 0 – 1 mechi iliyochezwa jana katika uwanja wa Taifa wa Tanzania.

Pamoja na hayo Mashabiki hao wameisifia Tanzania kwa kuwa na amani kwani wamekuwa salama kuanzaia walipoingia uwanjani hapo hadi mechi kumalizika na kutoka nje ya uwanja kwa amani.

Hans Poppe: Yanga Wameitia Aibu Nchi Yetu
Mahakama Kuu Arusha Yatengua Ubunge wa Onesmo Nangole