Masogange mikononi mwa Polisi, akamatwa ‘kimafia’ akienda kukutana na rafiki zake…, Watanzania 132 sasa wafukuzwa Msumbiji, wako zaidi ya 3,000 wadaiwa kudhalilishwa, Diamondi naye ajikuta mikononi mwa Polisi…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Februari 16, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Maalim Seif: Wapinzani bila kuungana kwa dhati ni ndoto kuing'oa CCM
Wafanyakazi 25 Kampuni ya Quality Group kuanza kuhojiwa leo