Maswali 7 mtego kwa Dk. Mpango, Wabunge wacharuka wakitaka Serikali isake majibu sahihi ili kulinda uchumi, Kombora la Makonda lapiga Polisi 12, akina Mwigulu wapigishwa kwata… hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Februari 5, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Chris Kika kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Trump apinga amri ya mahakama, akata rufaa
Mahakama yatengua amri ya Trump