Matamasha yakuadhimisha mambo mablimbali yamekuwa yakifanyika kwa miaka mingi duniani lakini yaliyozoeleka ni yale yanayohusisha muziki, mavazi, vyakula  biashara na kadhalika, ikiwa ni sehemu ya kudumisha utamaduni wa sehemu husika.

Kutokana na uwepo wa teknolojia umefanya tufahamu matamasha yanayofanyika sehemu tofauti tofauti duniani, kutokana na tamaduni zetu yanatufanya tuone sio ya kawaida na ya kushangaza zaidi.

Haya ndiyo matamasha ya kustaajabisha zaidi duniani, tazama kufahamu.

Video: Dereva Bodaboda na Misukosuko Wanayopitia, "Nilitekwa nikatupwa Kinyerezi"
Misri yapitisha sheria mpya ya mtandaoni, tovuti 500 zafungiwa