Mauaji ya mwanachuo yavuruga Polisi, yashikilia Askari wake sita na raia 40, Wazazi watoa neno zito, wahoji mauaji ya hovyo ya raia, simanzi yatawala kijijini, dada asema aliondoka akiwa mzima anarudishwa kwenye jeneza, Wabunge wateule watamba, Chadema hawatambui matokeo…,  Bofya kutazama habari zote zilizopewa uzito katika magazeti ya Tanzania leo Februari 19, 2018

Mbunge wa NASA amtolea uvivu Raila, ‘usiwaweke Wakenya Rehani’
Israel yaionya Iran, yasema ni tishio kwa dunia

Comments

comments