Mawaziri kitanzini, wataalamu uchunguzi Misri watua nchini kusaidiana na Takukuru kufuatilia ‘dili’ zao, Lowassa aionya Kenya na vurugu za uchaguzi, Wasichana wang’ara kidato cha sita, wapata wastani mzuri wa ufaulu, pacha walioungana nao wafaulu, Katibu mkuu Chadema Dk. Mashinji, wabunge wawili wakamatwa polisi…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Julai 16, 2017. Tazama video hapa

Mke wa Waziri Mwakyembe afariki dunia
Vijana waja na mapendekezo maboresho Sera ya taifa

Comments

comments