Mwenyekiti wa NCCR mageuzi, James mbatia amesema mazoezi ya wazi ya jeshi la polisi yana athari kubwa kwa jamii na kusema kwamba mpaka sasa wananchi wana hofu kubwa.

”Hakuna jeshi lolote duniani linalofanya mazoezi barabarani hadharani” – Mbatia.

Tazama video hapa #USIPITWE

Video: Tamko la Vyama vya upinzani baada ya kufanya mazungumzo na viongozi wa dini
Video: Majaliwa awataka Wakurugenzi wawahamasishe Walimu kujiendeleza kielemu