Mbowe amvimbia Makonda, kumshitaki, Bunge laonya ubabe kutaja watu majina, Spika Ndugai asema kwenda kibabe kutavuruga nchi, Kama sinema Mwanza Polisi ikimdaka msambaza ‘unga’… hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Februari 11, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Chris Kika kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Sirro: Hakuna sababu ya kuogopa, unapoitwa we njoo
Lusinde amshukia mbunge mwenzie CCM