Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde amepata nafasi ya kusimama na kuchangia katika bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2016/2017, Kati ya vitu ambavyo amevipa kipaumbele katika mchango wake ni pamoja na kitendo cha wabunge wa upinzani kuendelea kutoka nje ya bunge kuonyesha kutokuwa na imani na naibu spika Dk. Tulia Ackson.

‘Moja ya viongozi madikteta nchini ni pamoja na Mbowe’-Mbunge Lusinde

Video: Mbunge Bahati ameitaka Serikali kuwatibia bure Wanawake wenye tatizo la Fistula
Waislam wachanga fedha kujenga kanisa