Mbowe atoa msimamo mkali, aeleza sababu za kutokuwa na hotuba za kambi rasmi ya upinzani kwenye bunge la bajeti linaloendelea mjini Dodoma, Vyama vinavyovunja sheria sasa kufutwa, Bunge lataka msajili asivionee haya, vinavyotumia ruzuku vibaya kukiona…, Bofya kutazama habari zote zilizopewa uzito katika magazeti ya Tanzania leo Aprili 5, 2018.

Uturuki, Iran na Urusi zaungana kuisaka amani nchini Syria
Zitto awataka Wazee wa Kigoma kuingilia kati suala la Nondo