Mbunge wa Nkasi, Ally Kessy naye amepata nafasi ya kuchangia Bungeni na kwa style ya aina yake ikiwa ni kuijadili bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii ambayo leo ni siku ya pili tangu ilipowasilishwa na Wizara husika na kuiomba Serikali kuitengea jumla ya Sh. 135,797,787,000 kwa mwaka wa fedha 2016/2017.

Lowassa ajisafisha tuhuma za kukwapua ardhi, Mbunge asema Lukuvi amechanganya
MABULA :MIUNDOMBINU MIBOVU HUSABABISHA AJALI ZA MOTO

Comments

comments