Mbunge wa viti maalum Fakharia Shomari Khamis ameuliza maswali yake Bungeni kuhusu Saluti
Je ni nini maana ya kitendo cha kupiga saluti kinachofanywa na askari,
Je ni askari wa ngazi gani hupigiwa saluti,
 Je ni maofisa/viongozi wa ngazi wa ngazi uraiani katika mhimili ya Serikali, Mahakama na bunge ambao wanastahili kupigiwa saluti”. – Fakharia Shomari Khamis

MAJIBU: PGO Na. 102 imeainisha taratibu za saluti kwa viongozi wa Serikali na taasisi zingine. Aidha kuanzia askari mwenye cheo cha konstebo hadi mkaguzi wanapaswa kuwapigia saluti wakuu wa wilaya na waheshimiwa mahakimu wote wanapokuwa katika maeneo yao ya kazi

Tiwa Savage: Nilivurugana na mume wangu siku ya harusi
Viongozi CUF wamfungia milango Lipumba, wadai ametumwa kuua chama