Mbunge wa Jimbo la Ulanga, Goodluck Mlinga amepata nafasi ya kusimama bungeni ambapo ameitaka Serikali kufanya mpango wa dharura ili kutengeneza barabara za vijijini . Akijibu swali hilo Naibu Waziri wa TAMISEMI, Suleiman Jaffo amesema Serikali itaendelea kuweka mkazo wananchi wapate huduma kwani ni mpango wa Serikali kuhakikisha takribani miaka 5 inayokuja mabadiliko katika miundombinu inaonekana. Tazama hapa Video