Habari Video: Mbunge Goodluck amekuja na style ya aina yake Bungeni, ‘Hawachomoki’ 8 years ago Mbunge wa Ulanga, Goodluck Mlinga amekuja na staili ya aina yake Bungeni akiwakosoa wapinzani wanaotoka bungeni kumpinga naibu spikaDk. Tulia. ‘Hawachomoki’ Ayler afungukia maisha yake ya IFM. Video: 'Wapinzani hatuzingatii Sheria wala Katiba, tunavuruga chaguzi' - Augustino Mrema