Bunge la 11 limeendelea kuijadili bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii tangu ilivyoombwa na Waziri Jumanne Maghembe kiasi cha Sh. 135,797,787,000 .

Na Wabunge mbalimbali walipata nafasi ya kuchangia maoni yao, huy hapa ni Joseph Haule Mbunge wa Mikumi maarufu Profesa Jay amesimama na kusema

 

HII KUTOKA KWA MBUNGE DOTO BITEKO ILIKUPITA? ITAZAME HAPA

Jambo hili lisipo pata majibu leo Mh. Waziri nakwambia hapahapa nakufa nawewe – Doto Biteko

Kocha wa Pacquiao amkabidhi Mayweather 'silaha' ya mafunzo aliyoikataa Pacquiao
Esther Bulaya avuruga hali Bungeni, atumia kauli tata dhidi ya Waziri

Comments

comments