Safari ya shabiki Piere na Wabunge wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania kwenda kushuhudia michuano ya kombe la AFCON imeanza Leo jijini Dodoma huku Piere aliyedhaminiwa na TACIP akianza kwa kuonyesha Mbwembwe uwanja wa ndege.

Katika safari hiyo iliyojumuisha wabunge takribani 50, wamesema kuwa hawaendi kushangilia pekee Bali watahakikisha wanatangaza vivutio vya utalii ambavyo vipo hapa nchini.

Tazama hapa Piere akionesha Mbwembwe zake kwa kufurahia Mradi wa utambuzi wa wasanii wa Sanaa za ufundi TACIP kwa kutimiza ndoto yake ya kwenda kushuhudia michuano ya AFCON…, Bofya hapa kutazama.

Habari kubwa katika Magazeti ya Tanzania leo Juni 21, 2019
Serikali yafanya mapitio ya mwongozo wa kilimo cha umwagiliaji