Timu ya taifa ya Chile imechukua tena taji la ubingwa wa Copa Amerika 2016 baada ya kuifunga Argentina mabao 4-2 kwa njia ya penati.

Mchezo huo uliochezwa kwa dakika 120 uliisha katika muda wa kawaida kwa sare ya bila kufungana.

Masikitiko yalitawala kwa timu ya Argentina baada ya kujikuta wanakosa nafasi nyingine ya kutwaa ubingwa kwani mwaka jana ni timu hizi pia zilicheza fainali.

Lionel Messi ambaye alipewa nafasi kubwa ya kufunga mabao alijikuta akiwakosesha raha mashabiki wa nchi yake kwa kukosa penati.
http://bambawefushia.com/nettdating-erfaringer/

Majaliwa Kumuwakilisha Magufuli Kesho Botwasana
Pauni ya Uingereza Yazidi Kudorora