Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es salaam, linamshikilia kijana mwenye umri wa miaka 18, mkazi wa Mbagala kwa tuhuma za kukutwa na sare za JWTZ .

kabla ya kukamatwa aliwahi kufungwa na akatoka kwa msamaha wa Rais mwaka jana.

Tazama video hapa chini:

Emery amvulia kofia Pep Guardiola kabla ya Man City Vs Arsenal
DC Mtwara amaliza mgogoro uliodumu zaidi ya miaka 10