Misri yaleta neema ya viwanda nchini, Freemasons watoa tahadhari Tanzania, ni baada ya kushtukia utapeli, Polisi wafunguka, Mwanasheria mkuu sasa aunganishwa kesi ya Mbowe, Rais Kenyetta aruhusu maandamano kumpinga, Polisi wasema Kibiti sasa shwari…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Agosti 15, 2017. Tazama video

Video: Ruby – “Nandy anajaribu kupita kama mimi”, afunguka kuhusu mpenzi wake mpya 

Mpina kukabiliana na changamoto za muungano
RC Tabora atishia kukitaifisha kiwanda cha Maziwa