Mbunge wa Viti Maalum, Riziki Mngwali amepata nafasi na kuleta stori hii ya Mjusi Bungeni ambapo ameeleza kuwa kuna mjusi aliyepelekwa Ujerumani na kuwanufaisha wajerumani na kila mwaka wanapata dola bilioni 3 na Tanzania hadi sasa hakuna chochote kilichowanufaisha Wananchi kutoka kwa mjusi huyo

mjusi (1)

Mwanamke akamatwa akiweka Dawa za kulevya kwenye nyumba ya Mchungaji
Arsenal FC Wathibitisha Usajili Granit Xhaka

Comments

comments