Mbunge wa zamani wa Kahama James Lembeli aliyejiunga Chedema kabla ya uchaguzi mkuu akitokea CCM ameibukia kwenye mkutano wa Rais Magufuli mjini Kahama jana.

Lembeli alimweleza Rais Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM, kuwa yuko tayari kurudi CCM endapo ataisafisha. Bofya hapa kutazama video Lembeli akiongea na mbele ya Rais Magufuli

Lowassa: Siasa ni Mazungumzo
Arsene Wenger Aponda Usajili Wa Paul Pobga