Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala bora, George Mkuchika amewatahadharisha waajiri wote wanaochelewesha wastaafu kupata mafao yao.

Mkuchika amesema hayo Jijini Dodoma alipokuwa akizungumza na Dar24 Media ambapo amesema kuwa hatua kali dhidi ya waajiri hao zitachuliwa.

“Watu kama hawa wanaochelewesha mafao ya wastaafu watachukuliwa hatua kali kwasababu kuna baadhi ya wastaafu hawaelewi utaratibu wa kufuatilia stahiki zao,” amesema Mkuchika

Rais Putin kuteta na Rais wa China
Trump akomaa na msimamo wake dhidi ya nchi za Ulaya