Mkurugenzi wa Wilaya ya Magu iliyopo mkoani Mwanza, George Lutengano amewataka wananchi kupinga vitendo vya rushwa.

Ameyasema hayo wilayani Magu mkoani Mwanza alipokuwa akizungumza na Dar24 Media, ambapo amewataka wananchi kupambana na rushwa.

“Niwatake wananchi kupinga vitendo vya rushwa, kwani serikali ya awamu hii ya tano inapinga vikali vitendo hivyo na inawataka wananchi wajikite katika shughuli za maendeleo,”amesema Lutengano

 

Video: Nitamsweka ndani miaka 30 yeyote atakayemtia mimba mtoto wa kike- DC Muro
Video: Mkuu wa Wilaya ya Busega awataka wananchi kujitokeza kwenye ziara ya JPM