Mmiliki shule ya Lucky Vicent akamatwa, Waziri atajwa sakata la vyeti, jina lake latajwa kwenye orodha ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Maalim Seif asema hatahamia Chadema, Mvua yaleta balaa, watu watano wafariki dunia, 3,000 hawana makazi…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Mei 10, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojiri kwenye magazeti ya Tanzania. Bofya hapa kutazama

 

Tazama hapa yanayojiri Bungeni Dodoma muda huu

?LIVE: Yanayojiri Bungeni Dodoma leo Mei 10, 2017
Magazeti ya Tanzania leo Mei 10, 2017