Katika historia leo ni siku ya kumbukumbu maadhimisho ya miaka 52 ya Azimio la Arusha, lililotangazwa na Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kama njia pekee ya watanzania kuondoa unyonge wao katika kuongoza Tanzania kwenye misingi ya Ujamaa na kujitegemea.

Ili kuweka kumbukumbu mnara wa kumbukumbu la Azimio la Arusha ulijengewa,licha ya kubaki alama, unatumiwa na baadhi ya wakazi kujiingizia kipato.

[youtube https://www.youtube.com/watch?v=CJE102VZGoo]

Video: Davido agusa rekodi za Jay Z, Rihanna, Drake, Kanye
Utalii wa kuruka na Puto wawavutia wengi Ruaha