Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Hashim Mgandilwa ameandaa mpango mkakati wa kuhakikisha Wilaya yake inakuwa safi mbali na changamoto ambazo zipo.

Mgandilwa amesema hayo katika maadhimisho ya mazingira Kitaifa yaliyofanyika wilayani humo leo Septemba 24, 2016 ambapo ambali na mikakati aliyoiandaa amesema hatua kali zitachukuliwa kwa wananchi wote watakaoendelea na tabia ya kutupa uchafu hovyo hasa sehemu za beach na maeneo mengine. Bofya hapa kutazama video

Lipumba aingia ofisi za CUF kama Mwenyekiti, Polisi wamfungulia mlango
Waziri Mkuu aagiza uchunguzi juu ya Madaktari wanaomiliki Maduka ya dawa