Leo ni siku nyingine nzuri ya kukumbukwa na Ali Kiba ambaye amepata shavu nene la baada ya kusaini mkataba wa kusimamiwa kazi zake za muziki na lebo kubwa duniani ya Sony Music.

Furaha ya King Kiba inasindikizwa na video yake mpya ya wimb0o wa ‘Aje’ ambayo ilikuwa sehemu ya kile kilichooneshwa wakati wa kusaini mkataba huo. Video imeongozwa na Mejji Alabi.

Enjoy:

Lowassa atua tena Bungeni, awekwa kwenye mzani na Profesa Muhongo
Hivi Ndivyo Azam FC Walivyopoteza Point Tatu Za Ligi Kuu

Comments

comments