Siku chache baada ya wimbo wa Dogo Janja ‘My Life’ kuonesha dalili za kufanya vizuri na kumrudisha kwenye ulingo wa Bongo Flava kufuatia ukimya wa muda mrefu, Video ya wimbo huo imeachiwa rasmi kuongeza nguvu.

Video hiyo imeongozwa na Hanscana wa kampuni ya ‘Wanene Film’. Iangalie hapa:

AdaLipa yazifaidisha shule na wazazi, malipo ya ada sasa ‘chapchap’
Mkutano Mkuu Wa TFF Wamtunuku Heshima Leodger Tenga