Mkali wa ‘Basi Nenda’, Mo Music amerudi tena na kuwazawadia mashabiki wake video mpya wimbo wake wa ‘Ado Ado’ iliyoonozwa na kampuni ya Kwetu Studio.

Enjoy!

Bunge la Tunisia laidhinisha serikali ya Youssef Chahed
Dar: Kizimbani kwa kukutwa na ‘mihuri ya Ikulu, Mahakama Kuu’