Burudani Video Mpya: Nay wa Mitego – Saka Hela 8 years ago Nay wa Mitego ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Saka Hela’ aliyofanya nchini Afrika Kusini. Hii ni video ya kwanza kwa rapa huyo kufanya Bondeni kwa Madiba. Enjoy: Makonda anasa Sukari, Aliyekutwa na tani kadhaa adai hugawa bure WAZIRI MKUU KUMWAKILISHA RAIS MAGUFULI LONDON