Kundi la Saut Sol wameachia rasmi video ya wimbo wao ‘Unconditionally Bae’ waliomshirikisha Ali Kiba. Video ya wimbo huo imetayarishwa na Justin Cumpos wa Afrika Kusini. Mazingira ya video hiyo ni Mombasa nchini Kenya. 

Steve McClaren Atimuliwa St James' Park
Simba Yasikitishwa Na Taarifa Za Abel Dhaira