Mwanamuziki wa Bongo fleva ambaye umaarufu wake aliupatia kupitia kipindi cha Bongo Star Search, Peter Msechu baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu sasa amechia kibao chake kipya kinachoenda kwa jina la yakawa.

Video hiyo imetengenezwa chini ya Menejimenti ya African Music Connect (AMC), na kuongozwa na Travellah.

Unaweza kuitazama hapa chini.

Comments

comments