Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Msukuma amesema Samaki wana maumbile tofauti kama ilivyokuwa kwa binaadam, wanaweza kulingana kwa umri lakini maumbile wakawa tofauti, hivyo basi, ni lini Wizara itakuja na sheria ambayo itawasaidia wavuvi wanapokutana na maumbile kama ya binadamu?

Mkusuma amesema hayo leo Bungeni wakati akuiliza swali lake la nyongeza Wizara ya Mifugo na Uvuvi, ambapo ameeleza kuwa baharini kuna aina nyingi za Samaki ambao wana makuzi tofauti tofauti lakini umri mmoja, na wavuvi wanapotupa nyavu baharini wanapata Samaki hao tofauti tofauti ambao wakipimwa kwenye rula hawalingani. Bofya hapa kumtazama Msukuma na jibu la Serikali

Makamba amkingia kifua Dk Mpango, 'Namtetea Mpango namfahamu'
Teknolojia ya VAR yamkera Nordin Amrabat