Rais Dkt. John Pombe Magufuli – Mtanikumbuka,  Asema ‘Sitasikiliza maneno ya mtu’, ni katika masuala ya maendeleo kwa watanzania, azindua ujenzi wa reli, Wabunge CCM wapigwa ‘stop’ mijadala ya utekaji, Serikali haijui alipo Ben Saanane…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Aprili 13, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Bofya hapa kutazama YANAYOJIRI BUNGENI moja kwa moja kutoka Dodoma muda huu

 

Live: Yanayojiri Bungeni Dodoma leo Aprili 13, 2017 muda huu
Mwigulu: Marufuku wabunge kuhojiwa nje ya bunge