Mchezaji Musa Bakari nyota wa UMMISETA, mwenye umri wa miaka 16 ni mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya Tirav iliyopo Wilaya ya Temeke. Amepata nafasi ya kushiriki kambi ya michezo ya kimataifa ya Copa Coca Cola iliyopo Paris nchini Ufaransa kwa udhamini wa kampuni hiyo. Kambi hiyo ya kimataifa imefanyika kuanzia Juni 29 hadi Julai 4 2016 na mchezaji huyo wa Tanzania ametajwa kufanya vizuri.

Andy Murray Azidi Kuchanja Mbuga Wimbledon Open
Serikali yaizika rasmi ‘Shisha’