Muhongo afunguka mkataba madini, afafanua kutokuwepo kwake bungeni kipindi hiki muhimu cha Bunge la Bajeti, Mali za vinara wa Escrow zakamatwa, ni za Harbinde Seth wa IPTL na Rugemalira, akaunti zao benki nazo zapigwa kufuli, Marufuku wajawazito kurejea shuleni…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Juni 23, 2017.

Tazama hapa yanayojiri Bungeni Dodoma leo Juni 23, 2017 muda huu. Bofya hapa

 

Live: Yanayojiri Bungeni Dodoma Leo Juni 23, 2017
Jokate : Sipo tayari kuzungumzia maisha yangu ya kimapenzi, labda awe mume wangu