Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amezindua mradi mpya wa eneo la kuuzia magari ya aina zote, ambapo amerahisha utaratibu mzima wa ununuaji na uuzaji wa magari.

Kupitia mradi huo ametenga eneo kubwa  la kigamboni kwa ajili ya biashara hiyo ya magari, ambapo wafanyabiashara ya magari aina zote watapatikana katika eneo moja.

Hivyo amewataka wafanyabiashara kufika ofisini kwake ili kukabidhiwa eneo kulingana na ukubwa wa biashara, na kutumia eneo hilo bure kwa muda wa takribani miaka mitatau.

Kupitia ukurasa wake instagram ameweka video ikionesha muonekano mpya wa Dar mpya Kigamboni industrial park.

Amesema mradi huoo utakamilika ndani ya mwaka mmoja.

Tazama hapa muonekano huo hapa;

 

 

 

 

Mkuu wa Majeshi awatoa hofu wananchi
Wanamgambo 6 wa Al-Shabaab wauawa