Mwanamke ameokolewa kwenye mto akiwa hai baada
kuangukia kwenye mto uliokuwa ukipitisha maji
mengi kutokana na mvua kubwa zilizonyesha, China.
Mwanamke huyo alilazimika kushika kwenye kipande
cha mbao kwa masaa manne huku mafuriko yakimsomba
umbali wa takribani kilomita 60.