Mwigulu atia mguu mimba shuleni, ajiandaa kufuta taasisi zinazoshabikia ushoga, Lowassa awatetea Masheikh Uamsho, amtaka Rais Magufuli awaachie, wasota ndani miaka minne sasa, Askofu KKKT amsifu Magufuli, alilia Katiba…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Juni 26, 2017.

Nyamlani ajiondoa kinyang’anyiro cha urais TFF
Diamond kuwapa Watanzania ‘kitu’ kwa shilingi 300