Msanii wa Bongo Fleva, Zena Yusuf Mohammed maafuru kama Shilole ameziachia video mpya ya wimbo wake unaokwenda kwa jina la ‘Mtoto mdogo’ akimshirikisha mkali wa nyimbo za Singeli, Man Fongo. Bofya hapa kutazama video ya Shilole ambayo ndani unamkuta msanii mkongwe na maarufu wa Bongo movie, Mzee Chilo