Tazama hapa Naibu Meya wa Ilala Omar Kumbilamoto na wananchi wa Vingunguti wakujadili juu ya fursa zilizopo wilaya ya Ilala na akiwajibu maswali ya papo kwa papo kwa yale yanayo watatiza.

Ni katika kipindi cha “On the Bench” wiki hii Dar 24 imewakutanisha wananchi wa Vingunguti na kiongozi wao,…Bofya hapa kutazama ilivyokuwa.

Trump amtumia ujumbe wa heri Kim Jong Un, ‘hello’
LIVE: Makabidhiano ya Madini na Fedha BOT jijini Dar es salaam