Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu sera, bunge, kazi, ajira, vijana na walemavu, Abdallah possi ametoa wito kwa watanzania kubadilisha mitazamo, malengo na mfumo wa maisha ili kuweza kupambana na changamoto hasa za utumikishwaji watoto, Waziri amesema serikali itaendelea kupambana na utumikishwaji hivyo amewasihi wazazi kuwapeleka watoto wao shule.

Waziri Possi ameongea hayo katika uzinduzi wa ripoti ya utafiti ya utumikishwaji watoto ya mwaka 2014/15 iliyozinduliwa na Ofisi ya taifa ya takwimu jijini Dar es salaamu, kwa kushirikiana na mashirika mbalimbali yanayotetea haki za watoto duniani.

Lowassa awahakikishia Ukawa Ushindi 2020 kwa sharti moja
FA Yafanya Mabadiliko Ya Sheria Za Ligi Kuu