Naibu waziri wa mambo ya ndani, Yusuph Masauni ametoa wito kwa wanasiasa na wananchi kutokushiriki maandamano yeyote kwa sehemu yeyote ile kwani muda wa kampeni za uchaguzi ulishapita.

Masauni amesema hayo mapema leo katika uzinduzi wa kitabu cha ”Itunze Amani Ili ikutunze” jijini Dar es salaam  na kuwaasa vijana na wananchi kwa ujumla kutokukubali kutumika kisiasa kwa manufaa ya watu flani.

Kitwanga akomalia ununuzi wa ndege za Bombadier Q400, ‘tatizo hatuna mipango’
Video: Popote pale haki isipotendeka hupelekea kutokea machafuko - Bisimba