Mtoto wa aliyekuwa Waziri Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya Richmond, Edward Lowassa, Fredy Lowassa amesema kuwa anakishukuru Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kwa kukubali matokeo ya uchaguzi  wa mwaka 2015.

Ameyasema hayo wakati akihutubia katika kampeni za kumnadi wa mgombea ubunge wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), jimbo la Monduli.

“Huduma zote zipatikana, na hatuna ugomvi na mtu yeyote, hawa vijana nimewasaidia sana hata huyo Julius Kalanga kuwafikisha kwa mzee,”amesema Fredy

 

Video: Kiswahili ni tunu ya Taifa, tuienzi na kuitangaza- Rais Mstaafu Ally Hassan Mwinyi
Madiwani wengine wa Chadema Arusha watimkia CCM usiku