Baada ya kupotea kwa muda mrefu katika sanaa ya muziki wa Bongo Fleva, Naj amerudi kwa kishindo na ngoma yake mpya ambayo kwa sasa inafanya vizuri katika chat za muziki na kuwa moja kati ya nyimbo 50 bora zinazoangaliwa na kusikilizwa na mashabiki.

Wimbo wake mpya unaenda kwa jina la ‘Utanielewa’ itazame hapa chini toa maoni yako, Naj aendelee na sanaa ya filamu au sanaa ya muziki wa bongo fleva.

?LIVE: Rais Dkt. Magufuli akiongea na wananchi wa Mkanyageni, Muheza Tanga
RC Gambo ashangaa bidhaa za Tanzania kuzuiliwa kuingia Kenya