Mbunge wa Jimbo la Mtama kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye amekonga nyoyo za wabunge walioshiriki katika hafla ya uchangiaji wa kampeni ya choo ni nyumba kwa kuimba nyimbo mbalimbali za wasanii wa kale.

Nape ameimba nyimbo hizo na kukonga nyoyo za wabunge na mawaziri mbalimbali waliokuwa wamehudhuria katika hafla hiyo.

“Profesa Jay kajitahihidi katika kuimba bongo fleva, miziki ya vijana, lakini mimi naimba ile miziki ya enzi zetu, najua hawezi kufua dafu,”amesema Nnape

 

Video: Walimu walioshindwa kutii taratibu za kazi bora wafukuzwe- Jafo
Video: Watoto wa kike ni lazima wasaidiwe ili waweze kutimiza ndoto- Ridhiwani Kikwete

Comments

comments