Nape, Kitwanga wageuziwa kibao, Mbowe, Zitto wazungumzia vigogo Chadema kuanguka, Wabongo kuitwa ajira A. Kusini, ni matunda ya makubaliano kati ya marais Magufuli, Zuma, Afa kwa kuanguka toka ghorofa ya 16, Prof. Muhungo kutia saini mkataba wa Tanzania kuuza muhogo China…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Mei 12, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojiri kwenye magazeti ya Tanzania. Bofya hapa kutazama.

?Live: Yanayojiri Bungeni Dodoma leo Mei 12, 2017
Dkt. Mabodi aagiza viongozi kutouza viwanja mabondeni