Kufuatia shauri la madai namba 22/ 2019, lililofunguliwa na Mbuge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari, kupinga kuvuliwa Ubunge kwa kutohudhuria mikutano mitatu ya Bunge mfululizo, Mwanasheria Leonard Manyama ameeleza jinsi atakavyotakiwa kulipa fidia Bunge endapo atashindwa kesi hiyo.

Waliopoteza ndugu yao kwenye ajali ya ndege waishtaki Boeing
Kigogo wa Takukuru aliyetajwa na JPM alala mahabusu

Comments

comments